Reiko Aylesworth (amezaliwa tar. 9 Desemba 1972 mjini Evanston, Illinois)[1][2] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.
Je,Reiko Aylesworth alizaliwa lini?
Ground Truth Answers: 9 Desemba 19729 Desemba 19729 Desemba 1972
Prediction: